NYOTA YA KISWAHILI GREDI YA KWANZA

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao. Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani: (i) Kusikiliza (ii) Kuzungurnza (iii) Kusoma (iv) Kuandika (v) Msamiati (vi) Sarufi
KES 299